May 22, 2010

WAGANDA NAO WAZIDI KUWANIA TUZO MBALIMBALI ZA MUZIKI!


Kwa upande wa Uganda bado wanamuziki waendelea kuipeperusha vyema bendera yao

ambapo baada ya Juliana kanyomozi kuonekana ndie mwanamuziki mwanamke anaeongoza

kwa tuzo . bado unaambiwa ndio kwanza mapema kwani Blu 3, Juliana, Moses Radio na Weasle

pamoja na Cindy wamechaguliwa tena kuwania tuzo ya Tanzania Kilimajaro Awards katika ile

category ya Best East African Single.Ambapo Blu 3 wako nominated kutokana na wimbo wao wa

Where you are, Moses Radio ambao waowapo nominated kwa wimbo wa Bread and Butter, Cindy

wimbo wa Na Wewe ambapo kidum toka Kenya na Juliana wanawania kinyanganyiro hicho katika wimbo wa

Haturundi Nyuma.Habari ndo bado hiyo kumbuka kilele cha shuhuli hii ni tarehe 15 may pale diamond

jubilee ambao toka Uganda na Kenya na hapa Tanzania watajulikana nani walioshinda tuzo hizo

HAPA NDO ALIKUWA ANAWASILI TANZANIA KATIKA UWANJA WA MWL. NYERERE USIKU.


Mwanamuziki Sean Kingston akiwasili jijini Dar usiku wa kuamkia leo

katika uwanja wa Nyerere International airportkwa ajili ya tuzo za kilimanjaro

zinazotarajiwa kufanyika ijumaa hii na siku inayofuata kuangusha bonge la shoo

katika ukumbi wa diamond jubilee. kushoto ni Meneja wa kinywaji cha Kilimanjari

Premeum Lager George Kavishe.

HAYA HAYA WAPENT WA MUZIKI, HUYU NI SEAN KINGSTONE KUTOKA MTONI NDANI YA BONGO.


Msanii kutoka Marekani Sean Kingston akiwa kwenye kipindi cha XXL leo mchana pale clouds Fm

mwanamuziki sean kingston tayari ameshatua bongo kwaajili ya kufanikisha burudani tosha katika

tuzo za Kilimanjaro Music Awards ambapo wasanii mbali mbali wa hapa tanzania na east africa

watapata tuzo mbali mbalikutokana na kile walichofanya.Sean kingston ameambatana na kundi lake lote toka State of America.

burudani itakuwa ya kutosha mbali na hayojamaa siku ya jumamosi atapanda tena jukwaani kuwaburudisha

na kuwapongeza washindi wote wa Tunzo za Kilimanjaro Musicawards.

kwa taarifa nyingine matukio na picha endelea kuungana nami katika matandao wako hapa hapa wa www.pius.handsomeboy.blogspot.com

THIS IS A WONDERFUL CAR..!


IF POSSIBLE GET ONE.

KWA WANAWAKE WOTE WANAO ONA AIBU KUTEMEA WAKIWA NA MIMBA..!!!



THIS IS ONE OF THE STRONG WOMAN AND WHO FEELS HER WOMANITY, SHE NEVER FEEL SHY WALIKING WITH PREGNANCY, KWANI NI SIKU CHACHE UNAFURAHIA KUPATA KATOTO, AU MNASEMAJE..?

I LIKE THE LADY!


SHE IS SINGING WITH FEELINGS AND STRENTH, REAL SHE IS GOOOOOOOOD.

HAIR STYLES..!








HELLOW LADIES CHECK ON THESE HAIR STYLES, TAKE ONE IF INTERESTED.