Written and prepared by PIUS JUSTUS MULIRIYE 2014
JINSI YA KUTIMIZA NDOTO ZAKO
Mafanikio ni mchakato, ili uweze kuona ndoto zako zinatimia, kuna mchakato inabidi uupitie. Kutimiza ndotozako kwanza kuna mambo mawili unatakiwa uyaangalie ndani yako mambo hayo ni;
a) Dhamira
b) Beliefs.
1. DHAMIRA (DESIRE)
Kweli umedhamiria? Ukijichunguza toka kilindi cha moyo wako, umeamua kweli unataka kutimiza ndoto yako, kiwango ni mpaka ndani yako kuwe na moto wa kutosha, utakao kupa nguvu ya kukusukuma kuelekea kwenye kutimiza ndoto yako, kama hujafikia kiwango hicho, hakikisha unaikuza hiyo dhamira, ufike kwenye kiwango cha kusema haijarishi nini nitakutana nacho njiani, nimeamua kutoka ndani kwamba nahitaji kuona ndoto yangu ikitimia.
2. HALI YAKO YA NDANI (BELIEFS)
Neno beliefs hapa haina maana ya beliefs ile inayojulikana na wengi ya imani ya dini, NO. Beliefs hapa ninamaanisha ni taarifa zilizowekezwa ndani yako, kwa njia mbali mbali na wazazi wako hasa ukiwa na umri kati ya 0-12 years, watu au jamii inayo kuzunguka, mfumo wa elimu uliyopata, vyombo vya habari n.k. Mambo hayo yote yametengeneza mtazamo fulani wa maisha ndani yako, na jinsi uanvyo yaona na kuyatafsiri maisha, na taarifa hizi ndizo zinatangeneza mfumo wako wa kufanya maamuzi na mara nyingi maamuzi au hatua utakazo chukua zinategemea taarifa hizi zilizo ndani yako, taarifa hizi ndizo zinatengeneza picha uliyokuwa nayo kuhusu maisha, na ndiyo inapelekea aina ya maisha uliyokuwa nayo, hiyo ndiyo tunaita BELIEFS. Maisha yako uliyonayo sasa hivi ni matokeo ya jinsi ulivyo ndani, nini kimewekezwa ndani yako,aina gani ya beliefs uliyonayo, belifs yako.Sasa unapotaka kutimiza ndoto uliyokuwa nayo, nilazima utathmini that kind of belief uliyonayo sasa hivi inaweza kweli kui support ndoto yako? Hamna namna utaweza ku achieve ndoto hiyo uliyonayo bila ya kubadilisha baadhi ya beliefs ulizokuwa nazo, wengine wanaita reprogramming of your mind, watu wengi wamekwama kwenye maisha, si kwasababu hawana ndoto, si kwasababu hawafanyi kazi kwa bidii, lakini moja ya sababu kubwa ni beliefs walizonazo, hizi zimekuwa ni hand break kwenye maisha yao, kutimiza ndoto zao wanahitaji kubadilisha hizi beliefs.Baada ya kufanya tathmini ya mambo hayo mawili hapo juu,inabidi uanze kuchukua hatua zifuatazo.
a)Weka malengo.
Anza sasa kuweka malengo ya kutimiza hiyo ndoto yako, kuweka malengo ni taaluma muhimu unayo takiwa kujifunza(kama unahitaji kujua zaidi hili endelea kufuatilia kupitia) HAPA Akili yako inafanya kazi kwa njia ya malengo, usipo ipatia lengo lenye mwelekeo wa kutimiza ndoto yako, mambo mengine yataipa akiliyako malengo, hakuna namna itakaa bure, ndiyo maana nimuhimu kujifunza ujuzi huu, hakikisha lengo lako linakuwa na sifa zile zinazotakiwa (S.M.A.R. T ) na unaenda mpaka ule upande muhimu ambao wengi hawaujui wa jinsi ya kutimiza malengo hayo.
b) Tengeneza taswila halisi (create a clear picture)
Hatua inayofuata ni kutengeneza picha/hau taswira halisi ya jinsi ndoto yako unavyotaka iwe, hakikisha picha hii inakuwa clear kabisa in your mind, piga picha mwisho kabisa utakapokuwa umetimiza hiyo ndoto yako utakuwaje. Labda una ndoto ya kuwa na nyumba, hakikisha unapata picha halisi ya aina ya nyumba unayotaka, nenda kwa undani zaidi ina vyumba vingapi, unataka sitting room yako iwaje? N.k. Pata picha halisi ya jinsi nyumba itakavyokuwa katika ukamilifu wake.Hakikisha picha hii unaipitisha kwenye akili yako mara kwa mara, hakikisha unaiwaza mara kwa mara kwa kadiri utakavyoweza, unaweza kutumia mbinu kama kuiweka picha hiyo as a background picture kwenye simu yako au computer yako, au kama ni aina Fulani ya maisha unaweza ukatafuta picha inayofanana na aina hiyo ya maisha unayo taka, ukaibandika labda kwenye kuta za chumba chako cha kulala, usiku kabla hujalala unaingalia, asubuhi kabla ya kuamka unaingalia, nia nikuhakikisha picha hiyo inapita mara kwa mara kwenye akili yako.
c) Ambatanisha hisia chanya kwenye pichayako(Give positing feeling to your pic).
Hii ni hatua muhimu sana, make sure you get the feeling of the outcome, kopa hisia za Yule mtu unayetaka uwe, anza kufeel as if you have your dream now, tembelea maeneo,shilikiana na watu ambao wata zi boost hizo feelings, sikiliza aina ya mziki ambao utazi amplify hizo positive feelings, dress kama vile tayari umetimiza ndoto hiyo yako, kwa ujumla wake tengeneza mazingira yatakayo kufanya ujisikie vizuri, katika mwelekeo wa kana kwamba umetimiza ndoto hiyo.
d) Stay away from dream killer (kaa mbali na waharibu ndoto)
Katika kipindi hiki cha kuatamia ndoto yako, kuna watu au mazingira itabidi ukae mbali nao, you can’t afford to surrounded by too negativity people or circumstance, halafu ukategema ndoto yako ikatimia, kwanza moja kati ya madhara ya watu hawa au mazingira hayo, yanakupa feelings ambazo ni kinyume na feelings zile zinazohitajika ili kutimiza ndoto yako. Hii maana yake ni kwamba kuna marafiki wengine inabidi uachana nao, inabidi uwe mwangalifu wa nini unaangalia au kusikia, iwe ni TV au Radio n.k ) Vumilia na endela kufanya hatua hizo hapo juu Mabadiliko yanachukua muda, kutimiza ndoto yako siyo swala la kulala na kuamka tu, utahitaji kuvumilia na kuendelea na mchakato wa hatua zile za hapo juu mara kwa mara, utaanza kujisikia ugumu Fulani, kwa sababu itabidi kubadili baadhi ya tabia na kuachana na mambo Fulani, hii ni kuondoka kutoka kwenye confort zone, mchakato huu una kaugumu kidogo, most of the time utashawishika kurudi kwenye hali uliyo izoea, lakini kama unataka kuona ndoto yako ikitimia unahitaji kuvumilia, nakuendelea kuzifanyia kazi hatua hizo hapo juu mara kwa mara, mchakato huu ni kama mchakato wa kulima, huwezi kupanda mbegu leo ukategemea kuvuna kesho, huwezi kusoma kitabu kimoja leo ukategemea kubadilika kesho, utahitaji kuvumilia kutoka muda wa mabadiliko kuonekana.
TAKE CALCULATED RISK!
“Don’t test the depth of water with both feet” -Warren Buffett
Kuelekea kwenye kutimiza ndoto yako, kuna jambo moja muhimu la kujifunza, nalo ni ku take risk, na siyo tu just a risk, inatakiwa iwe calculated risk!Kila kitu kwenye maisha kina involve risk, hakuna kitu ambacho ni salama kwa asilimia mia moja, ngoja nikupe mifano*.Usafiri tunao utumia kuja makazini kila siku una kiwango cha risk, chochote chaweza kutokea na kugharimu maisha yetu*.Chakula tunachokula kina kiwango cha risk List inaweza kuendelea zaidi na zaidi, ninachotaka uje hapa huwezi kuogopa kuchukua hatua kuelekea kwenye ndoto zako kwa kigezo cha kuogopa risk. Usiruhusu hofu ya kushindwa ikuzuie kutimiza ndoto zako, kuchukua hatua na ku take risk kunakufanya kuwa mtawala wa maisha yako, huwezi kufanikiwa kama wewe siyo mtu wa ku take risk. Nini maana ya kutake risk? Taking risks mean stepping out of what is safe, comfortable and familiar to you. Ni ile hali ya kuondoka katika hali yako ya kawaida uliyo izoea na kuishinda hofu kwa kuchukua hatua za kijasiri zaidi kuelekea kutimizandoto zako, siyo swala jepesi kufanya, kwasababu linagusa hisia zako, na mara nyingi hisia inayo husika hapa ambayo inabidi uishinde ni hofu, hofu ya kushindwa, hofu ya kupoteza n.k lakini kama nilivyo kueleza hapo juu, usiogope ku take risk, unachotakiwa kufanya ni kutake a calculated risk.Zipo hatua kadhaa unaweza kuzifanya ambazo zitakuwezesha ku calculate risk kwenye kila hatua unayotaka kuchukua,kwenye makala hii nitakueleza hatua moja tu, ukitaka kujua hatua nyingine endelea kunifuatilia, nikiweka mkazo zaidi kwenye eneo la uwekezaji ambalo litakupa ongezeko la kipato nakukuwezesha kutimiza ndoto zako.
Wekeza kwenye maarifa ( Invest in education).“There is no bad investment, only bad investor” Robert Kiyosaki Sentensi hiyo hapo juu ya kutoka kwa bwana Robert Kiyosaki, inaonyesha kwa uwazi kabisa tatizo liko wapi, watu wengi hawataki kuwekeza kwenye maarifa, matokeo yake inapofika muda wa kuchukua hatua, iwe kwenye uwekezaji au jambo lingine lolote wanakwenda blindly tu kwa kufuata mkumbo wa watu wengine wanafanya nini, matokeo yake wanapata hasara ya kupoteza muda na fedha zao, hii experience inawajengea hofu ndani yao, matokeo yake na inapotokea nafasi ambayo wanatakiwa wachukue hatua ili kutimiza ndoto zao utawasikia, “this i
BLOGU HII NI KWA AJILI YA WATANZANIA WOTE WANOTAKA KUELIMIKA KUTOKANA NA MADA TOFAUTI TOFAUTI ZA MAENDELEO KATIKA MAISHA...PIA WALIMU NA WANAFUNZI WATAPATA MAKALA MBALIMBALI KUHUSU MASOMO YANAYOFUNDISHWA DARASANI...
Jan 2, 2015

Subscribe to:
Posts (Atom)