
Msanii kutoka Marekani Sean Kingston akiwa kwenye kipindi cha XXL leo mchana pale clouds Fm
mwanamuziki sean kingston tayari ameshatua bongo kwaajili ya kufanikisha burudani tosha katika
tuzo za Kilimanjaro Music Awards ambapo wasanii mbali mbali wa hapa tanzania na east africa
watapata tuzo mbali mbalikutokana na kile walichofanya.Sean kingston ameambatana na kundi lake lote toka State of America.
burudani itakuwa ya kutosha mbali na hayojamaa siku ya jumamosi atapanda tena jukwaani kuwaburudisha
na kuwapongeza washindi wote wa Tunzo za Kilimanjaro Musicawards.
kwa taarifa nyingine matukio na picha endelea kuungana nami katika matandao wako hapa hapa wa www.pius.handsomeboy.blogspot.com
No comments:
Post a Comment