BLOGU HII NI KWA AJILI YA WATANZANIA WOTE WANOTAKA KUELIMIKA KUTOKANA NA MADA TOFAUTI TOFAUTI ZA MAENDELEO KATIKA MAISHA...PIA WALIMU NA WANAFUNZI WATAPATA MAKALA MBALIMBALI KUHUSU MASOMO YANAYOFUNDISHWA DARASANI...
Jun 10, 2010
Ukifika Mtwara lazima utasalimiwa na shujaa wa ukweli
Hii ni alama iliyowekwa na serikali ya Jamhuri ya tz kwa ajili ya mashujaa walioipigania nchi yetu. Na sisi kwa kuwaenzi tunafanya hii kuwa kitambulisho cha nchi na mkoa wetu pia.
UZINDUZI WA MSIJUTE SEA BREEZE RESORT
BARABARA YETU, MTR TO DAR.
Dah... kwa hakika jamaa wanaendelea vizuri na ujenzi wa barabara na kuhakikisha hii kero inamalizika kabisa kuhusiana na swala zima la usafiri ila kinacho waangusha ni mvua ambazo zinanyesha na ufanya hali ya barabara kuwa mbaya kwa sasa , kikubwa tuendelee kuomba mungu mpango mzima ukamilike au wadau munasemaje kuhusiana na hili swala......
Subscribe to:
Posts (Atom)