
Mwanamuziki Sean Kingston akiwasili jijini Dar usiku wa kuamkia leo
katika uwanja wa Nyerere International airportkwa ajili ya tuzo za kilimanjaro
zinazotarajiwa kufanyika ijumaa hii na siku inayofuata kuangusha bonge la shoo
katika ukumbi wa diamond jubilee. kushoto ni Meneja wa kinywaji cha Kilimanjari
Premeum Lager George Kavishe.
No comments:
Post a Comment