Jan 2, 2015

Written and prepared by PIUS JUSTUS MULIRIYE 2014 JINSI YA KUTIMIZA NDOTO ZAKO Mafanikio ni mchakato, ili uweze kuona ndoto zako zinatimia, kuna mchakato inabidi uupitie. Kutimiza ndotozako kwanza kuna mambo mawili unatakiwa uyaangalie ndani yako mambo hayo ni; a) Dhamira b) Beliefs. 1. DHAMIRA (DESIRE) Kweli umedhamiria? Ukijichunguza toka kilindi cha moyo wako, umeamua kweli unataka kutimiza ndoto yako, kiwango ni mpaka ndani yako kuwe na moto wa kutosha, utakao kupa nguvu ya kukusukuma kuelekea kwenye kutimiza ndoto yako, kama hujafikia kiwango hicho, hakikisha unaikuza hiyo dhamira, ufike kwenye kiwango cha kusema haijarishi nini nitakutana nacho njiani, nimeamua kutoka ndani kwamba nahitaji kuona ndoto yangu ikitimia. 2. HALI YAKO YA NDANI (BELIEFS) Neno beliefs hapa haina maana ya beliefs ile inayojulikana na wengi ya imani ya dini, NO. Beliefs hapa ninamaanisha ni taarifa zilizowekezwa ndani yako, kwa njia mbali mbali na wazazi wako hasa ukiwa na umri kati ya 0-12 years, watu au jamii inayo kuzunguka, mfumo wa elimu uliyopata, vyombo vya habari n.k. Mambo hayo yote yametengeneza mtazamo fulani wa maisha ndani yako, na jinsi uanvyo yaona na kuyatafsiri maisha, na taarifa hizi ndizo zinatangeneza mfumo wako wa kufanya maamuzi na mara nyingi maamuzi au hatua utakazo chukua zinategemea taarifa hizi zilizo ndani yako, taarifa hizi ndizo zinatengeneza picha uliyokuwa nayo kuhusu maisha, na ndiyo inapelekea aina ya maisha uliyokuwa nayo, hiyo ndiyo tunaita BELIEFS. Maisha yako uliyonayo sasa hivi ni matokeo ya jinsi ulivyo ndani, nini kimewekezwa ndani yako,aina gani ya beliefs uliyonayo, belifs yako.Sasa unapotaka kutimiza ndoto uliyokuwa nayo, nilazima utathmini that kind of belief uliyonayo sasa hivi inaweza kweli kui support ndoto yako? Hamna namna utaweza ku achieve ndoto hiyo uliyonayo bila ya kubadilisha baadhi ya beliefs ulizokuwa nazo, wengine wanaita reprogramming of your mind, watu wengi wamekwama kwenye maisha, si kwasababu hawana ndoto, si kwasababu hawafanyi kazi kwa bidii, lakini moja ya sababu kubwa ni beliefs walizonazo, hizi zimekuwa ni hand break kwenye maisha yao, kutimiza ndoto zao wanahitaji kubadilisha hizi beliefs.Baada ya kufanya tathmini ya mambo hayo mawili hapo juu,inabidi uanze kuchukua hatua zifuatazo. a)Weka malengo. Anza sasa kuweka malengo ya kutimiza hiyo ndoto yako, kuweka malengo ni taaluma muhimu unayo takiwa kujifunza(kama unahitaji kujua zaidi hili endelea kufuatilia kupitia) HAPA Akili yako inafanya kazi kwa njia ya malengo, usipo ipatia lengo lenye mwelekeo wa kutimiza ndoto yako, mambo mengine yataipa akiliyako malengo, hakuna namna itakaa bure, ndiyo maana nimuhimu kujifunza ujuzi huu, hakikisha lengo lako linakuwa na sifa zile zinazotakiwa (S.M.A.R. T ) na unaenda mpaka ule upande muhimu ambao wengi hawaujui wa jinsi ya kutimiza malengo hayo. b) Tengeneza taswila halisi (create a clear picture) Hatua inayofuata ni kutengeneza picha/hau taswira halisi ya jinsi ndoto yako unavyotaka iwe, hakikisha picha hii inakuwa clear kabisa in your mind, piga picha mwisho kabisa utakapokuwa umetimiza hiyo ndoto yako utakuwaje. Labda una ndoto ya kuwa na nyumba, hakikisha unapata picha halisi ya aina ya nyumba unayotaka, nenda kwa undani zaidi ina vyumba vingapi, unataka sitting room yako iwaje? N.k. Pata picha halisi ya jinsi nyumba itakavyokuwa katika ukamilifu wake.Hakikisha picha hii unaipitisha kwenye akili yako mara kwa mara, hakikisha unaiwaza mara kwa mara kwa kadiri utakavyoweza, unaweza kutumia mbinu kama kuiweka picha hiyo as a background picture kwenye simu yako au computer yako, au kama ni aina Fulani ya maisha unaweza ukatafuta picha inayofanana na aina hiyo ya maisha unayo taka, ukaibandika labda kwenye kuta za chumba chako cha kulala, usiku kabla hujalala unaingalia, asubuhi kabla ya kuamka unaingalia, nia nikuhakikisha picha hiyo inapita mara kwa mara kwenye akili yako. c) Ambatanisha hisia chanya kwenye pichayako(Give positing feeling to your pic). Hii ni hatua muhimu sana, make sure you get the feeling of the outcome, kopa hisia za Yule mtu unayetaka uwe, anza kufeel as if you have your dream now, tembelea maeneo,shilikiana na watu ambao wata zi boost hizo feelings, sikiliza aina ya mziki ambao utazi amplify hizo positive feelings, dress kama vile tayari umetimiza ndoto hiyo yako, kwa ujumla wake tengeneza mazingira yatakayo kufanya ujisikie vizuri, katika mwelekeo wa kana kwamba umetimiza ndoto hiyo. d) Stay away from dream killer (kaa mbali na waharibu ndoto) Katika kipindi hiki cha kuatamia ndoto yako, kuna watu au mazingira itabidi ukae mbali nao, you can’t afford to surrounded by too negativity people or circumstance, halafu ukategema ndoto yako ikatimia, kwanza moja kati ya madhara ya watu hawa au mazingira hayo, yanakupa feelings ambazo ni kinyume na feelings zile zinazohitajika ili kutimiza ndoto yako. Hii maana yake ni kwamba kuna marafiki wengine inabidi uachana nao, inabidi uwe mwangalifu wa nini unaangalia au kusikia, iwe ni TV au Radio n.k ) Vumilia na endela kufanya hatua hizo hapo juu Mabadiliko yanachukua muda, kutimiza ndoto yako siyo swala la kulala na kuamka tu, utahitaji kuvumilia na kuendelea na mchakato wa hatua zile za hapo juu mara kwa mara, utaanza kujisikia ugumu Fulani, kwa sababu itabidi kubadili baadhi ya tabia na kuachana na mambo Fulani, hii ni kuondoka kutoka kwenye confort zone, mchakato huu una kaugumu kidogo, most of the time utashawishika kurudi kwenye hali uliyo izoea, lakini kama unataka kuona ndoto yako ikitimia unahitaji kuvumilia, nakuendelea kuzifanyia kazi hatua hizo hapo juu mara kwa mara, mchakato huu ni kama mchakato wa kulima, huwezi kupanda mbegu leo ukategemea kuvuna kesho, huwezi kusoma kitabu kimoja leo ukategemea kubadilika kesho, utahitaji kuvumilia kutoka muda wa mabadiliko kuonekana. TAKE CALCULATED RISK! “Don’t test the depth of water with both feet” -Warren Buffett Kuelekea kwenye kutimiza ndoto yako, kuna jambo moja muhimu la kujifunza, nalo ni ku take risk, na siyo tu just a risk, inatakiwa iwe calculated risk!Kila kitu kwenye maisha kina involve risk, hakuna kitu ambacho ni salama kwa asilimia mia moja, ngoja nikupe mifano*.Usafiri tunao utumia kuja makazini kila siku una kiwango cha risk, chochote chaweza kutokea na kugharimu maisha yetu*.Chakula tunachokula kina kiwango cha risk List inaweza kuendelea zaidi na zaidi, ninachotaka uje hapa huwezi kuogopa kuchukua hatua kuelekea kwenye ndoto zako kwa kigezo cha kuogopa risk. Usiruhusu hofu ya kushindwa ikuzuie kutimiza ndoto zako, kuchukua hatua na ku take risk kunakufanya kuwa mtawala wa maisha yako, huwezi kufanikiwa kama wewe siyo mtu wa ku take risk. Nini maana ya kutake risk? Taking risks mean stepping out of what is safe, comfortable and familiar to you. Ni ile hali ya kuondoka katika hali yako ya kawaida uliyo izoea na kuishinda hofu kwa kuchukua hatua za kijasiri zaidi kuelekea kutimizandoto zako, siyo swala jepesi kufanya, kwasababu linagusa hisia zako, na mara nyingi hisia inayo husika hapa ambayo inabidi uishinde ni hofu, hofu ya kushindwa, hofu ya kupoteza n.k lakini kama nilivyo kueleza hapo juu, usiogope ku take risk, unachotakiwa kufanya ni kutake a calculated risk.Zipo hatua kadhaa unaweza kuzifanya ambazo zitakuwezesha ku calculate risk kwenye kila hatua unayotaka kuchukua,kwenye makala hii nitakueleza hatua moja tu, ukitaka kujua hatua nyingine endelea kunifuatilia, nikiweka mkazo zaidi kwenye eneo la uwekezaji ambalo litakupa ongezeko la kipato nakukuwezesha kutimiza ndoto zako. Wekeza kwenye maarifa ( Invest in education).“There is no bad investment, only bad investor” Robert Kiyosaki Sentensi hiyo hapo juu ya kutoka kwa bwana Robert Kiyosaki, inaonyesha kwa uwazi kabisa tatizo liko wapi, watu wengi hawataki kuwekeza kwenye maarifa, matokeo yake inapofika muda wa kuchukua hatua, iwe kwenye uwekezaji au jambo lingine lolote wanakwenda blindly tu kwa kufuata mkumbo wa watu wengine wanafanya nini, matokeo yake wanapata hasara ya kupoteza muda na fedha zao, hii experience inawajengea hofu ndani yao, matokeo yake na inapotokea nafasi ambayo wanatakiwa wachukue hatua ili kutimiza ndoto zao utawasikia, “this i

May 8, 2014

SURVEY AND MAP READING MANUSCRIPT

PIUS EDUCATION COMPANY (PECo) invites all teachers and students, to get ready for the new practical geography manuscript, it will enable teachers in teaching and students in learning, here comes a volume of two topics first i.e. MAP READING AND SURVEYING AND MAP MAKING and other volume comes after which will include all the topics studied by form five and form six classes i.e. climatology, water mass, soil etc., u will be notified how to get your copy soon after delivery...
measuring long distance
in this volume, you will learn how to measure different measurements on the earths' surface such as, short and long distances on the land, making leveling step by step, calculating angles by prismatic compass and so many other good things.... so stay tuned guys...

a tape 

May 7, 2014

Apr 14, 2014

JIFUNZE KUPITIA BLOG HII..

Ndugu wasomaji, naomba tukutane ktk uwanja huu kwa mambo mazuri sana ya kuelimisha na kujenga maisha yetu, wanafunzi na walimu mtapata material mbalimbali ya masomo ya darasani na makala mbalimbali ya kujifunzia. karibuni sana

Jul 11, 2012

KIGOMA ALL STARS.....

Ulijua kuwa wasanii wote pichani wametoka Mkoa mmoja? Kama ulikuwa hufahamu basi chukua hiyo, wameungana kwa pamoja kama Kigoma All Stars na kutunga wimbo unaouitwa Leka Dutigite na wanatarajiwa kupiga show ya pamoja wiki ijayo ili kuchangia yatima wa mkoa huo. Tunawapongeza sana Banana Zoro, Chege, Mwasiti, Peter Msechu, Diamond, Abdul Kiba, Baba Levo, Recho, Linex, Ommy Dimpoz na Makomando. 

KIGOMA ONE LOVEEEEE

Jul 9, 2012

HAWAVUMI KUMBE NAO WAMO....

IT WAS A VERY INTERESTING 7/7/2012 DAY IN NATIONAL STADIUM, WHERE THE MOVIE CEREBRATES AND HONORABLE MP'S WERE SHOWING THEIR TALENTS, BOXING, FOOTBALL, KIDUKU AND KWAITO DANCING STYLES, ACTUALLY WAS THE DAY NOT TO MISS! HAVE A LOOK ON THESE PICS AND ENJOY...
 RAIS ALIKUWA WAPI? NILISKIA TETESI ALITAKIWA AWE REFEREE. 

DESIGNED BY    
PIUS JUSTUS MULIRIYE
piusmuliriye
pius.justus@gmail.com
www.pius4real.blogspot.com
SIMBA MPS' CEREBRATING 
BEFORE THE GAME
KUMBE NGELEJA ANAYAWEZA, MUONE ZITO NAE KWA NYUMA PALE, BONGE LA KWAITO!!!!
WEMA SEPETU AND JACQULINE WOLPER
WEMA AND JACQ
JB NA MWENZAKE, KWA MBALI DR.CHEN

Jun 28, 2012

BAED 3 SAUT-MTWARA!!!

WE ARE DONE WITH THIS PROJECT, WE THANK GOD FOR GRANTING US GOOD HEALTHY, CONFIDENCE AND WISDOM THROUGH OUT OUR COURSE OF STUDY.I TAKE THIS OPPORTUNITY TO THANK OUR PARENTS AND ALL SPONSORS  WHO HEARTILY FINANCED OUR STUDIES, WE PROMISE OF NOT LETTING YOU DOWN, OUR TUTORS, OUR UNIVERSITY STEMMUCO-SAUT MTWARA AND ALL STAKE HOLDERS WITHOUT FORGETTING LANDLORDS , NOTHING TO SAY, BUT WE PRAY FOR YOUR SUCCESS!!!!!!

Jun 26, 2012

WHO ELSE THAN MANDALU?

THE CURRENT DEPUTY DIRECTOR MANDALU IS SUCH A GOOD MAN NEVER SEEN, EVERY ONE CAN SAY.....HE HAS MADE THE ACADEMIC OFFICE SIMPLE AND EASY TO ENTER, EVERY STUDENT AT STEMMUCO IS EAGERLY TO ENTER THAT OFFICE WHENEVER COUNTERS A PROBLEM, ACTUALLY IT WAS NOT EASY AND EVERY ONE KNOWS THIS! WE THANK YOU VERY MUCH OUR BELOVED TEACHER AS WE ARE STEPPING OUT OF THIS COLLEGE WE WILL NEVER FORGET YOU, MAY ALMIGHTY GOD BLESS YOU....!!!!

Jun 22, 2012

AFTER EXAM

SIKU YA PEPER LA PROJECT PLANNING AND MANAGEMENT

            AFTER EXAM
PIUS JUSTUS
JOHNSON

Jun 19, 2012

R.I.P JACKSON EFESO

HILO NDILO GARI LILILOSAFIRISHA MWILI WA MAREHEMU KWENDA NJOMBE, MUNGU AWATANGULIE MFIKE SALAMA, KWAHERI KAKA YETU JACK!!!!!
HAWA NI BAADHI YA WANAFUNZI WA CHUO HICHO WAKIWA NA MAJONZI KATIKA MSIBA HUO 

R.I.P JACKSONI EFESO

R.I.P BELOVED BROTHER JACKSONI EFESO

Heavenly Father, we ask for a special awareness of your presence as we gather here today to remember the life of this loved one. Please, we pray for your comfort and strength as we reflect. In Jesus’ Name. Amen.
JACKSON was born in NJOMBE, the son of EFESO  on JULY 1989. He departed from this world to be with his Lord on JUNE 19, 2012. He was 23.

BAADHI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA SAUT-MTWARA WAKIJADILI KUHUSU MSIBA ULIOTUKUTA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MTIHANI, MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI...AMEEEN!!!

Jun 16, 2012

BAED3 WITH STEMMUCO FOUNDATION

IT'S HIGH TIME LADIES AND GENTLEMEN, WHO ELSE THAN BAED 3 SAUT-MTWARA? WE PROUD OF BEING PIONNEARS OF THIS COLLAGE (STEMMUCO-SAUT-MTWARA), NOW THE CLOCK IS TICKING TO THE LAST SECOND TO SAY HULEEEEEEE...!!!!!

TUNAMSHUKURU MUNGU KWA MEMA YOTE ALIYOTUTENDEA MPAKA LEO HII TUNAMALIZIA SAFARI YETU YA MIAKA MITATU, MUNGU TUNAOMBA UZILAZE ROHO ZA MAREHEMU WENZETU TULIOKUWA NAO KATIKA SAFARI (ALEX, ARON AND ROVIE) HAYA YOTE NI KWA SABABU YA MAPENZI YAKO. BWANA ALITOA, BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE!
TUNAWASHUKURU PIA MWAKA WA PILI NA WA KWANZA KWA USIRIKIANO WENU, TUTAWAKUMBUKA SANA, TUNAWAACHIA CHUO CHETU MUENDELEE KUKITANGAZA VIZURI KAMA TULIVYOJITAHIDI SISI, MUNGU AWABARIKI SANA,

 PIA TUNAPENDA KUWASHUKURU WALEZI WETU, WALIMU NA WASIO WALIMU KWA KUTUPOKEA, KUTULEA VIZURI SASA TUNAMALIZA, MKUU WETU WA CHUO DR. LONGINO, NANI KAMA WEWE? NI ZAIDI YA MZAZI, MUNGU AKUPE ZAIDI, MTAALUMA WETU MANDALU, TUNAKUPONGEZA SANA KWA KUIFANYA OFISI YAKO YA TAALUMA KUINGILIKA BILA WASIWASI, MUNGU AKUONGEZEE HEKIMA NA BUSARA ZAIDI!
MLEZI WETU SONGELA, HONGERA SANA!

ALL THE BEST IN UR EXAMS-BAED 3 SAUT-MTWARA

Jun 7, 2012

THE DAY OF DETERMINATION......

A PLACE WHERE EVERY BODY REALIZED HIS DREAMS AND WAYS TO GO ABOUT.................READ A BOOK CALLED "HOW TO WIN FRIENDS AND INFLUENCE PEOPLE"
                                                                         
  • MANAGE YOUR TIME WELL
  • SPEAK THE TRUTH UNTIL THE POINT OF DEATH
  • KNOW YOURSELF
  • TAKE RISK
  • ACCEPT CHALLENGES TO WIN
  • HAVE YOUR OWN VISION, FORESIGHT AND MISSION
  • SPEAK AND LISTEN TO PEOPLE
ALL THESE WILL HELP YOU TO REACH YOUR GOALS!

Jun 6, 2012

BLOGGERS' SHORT HISTORY

         BLOGGER'S HISTORY
                                    www.pius4real.blogspot.com 
HE IS FOR REAL
PIUS4REAL

Pius Justus is the first among the 6 children of Mr. Justus Muliriye and Mrs Adeline Bissama, he was born in September 4th,1987 at KIBONDO in KIGOMA region, he studied his primary school in 1995 to 2001 where as he joined secondary school in 2002 to 2005, he managed to rich high school where by in 2006 he joined, and 2008 completed his high school. In 2009, he joined first year at St. Augustine University of Tanzania-Mtwara, and now he is almost completing his first degree  of Arts with Education.

Jun 3, 2012

MR. JAMES MWANG'AMBA, A VERY FANTASTIC CONSULTANT!!!!!!!!!!!!!!

HE WANNER BE A ROLE MODE DOWN SAUT & VETA STUDENTS.......... AMAZING !!!!!!

Jun 2, 2012

MY DETERMINATION

AM SO PROUD OF MY SON...!!!

THNX FOR HER MOTHER FOR THAT COURAGE OF CARRYING HIM THROUGH OUT 9 MONTHS.

                         I LOVE YOU....

           WE ARE FROM TOO FAR.......!!!!!

                   EVERY THING HAS GOT ITS HISTORY

                     PIUS AND GRACE