May 22, 2010

WAGANDA NAO WAZIDI KUWANIA TUZO MBALIMBALI ZA MUZIKI!


Kwa upande wa Uganda bado wanamuziki waendelea kuipeperusha vyema bendera yao

ambapo baada ya Juliana kanyomozi kuonekana ndie mwanamuziki mwanamke anaeongoza

kwa tuzo . bado unaambiwa ndio kwanza mapema kwani Blu 3, Juliana, Moses Radio na Weasle

pamoja na Cindy wamechaguliwa tena kuwania tuzo ya Tanzania Kilimajaro Awards katika ile

category ya Best East African Single.Ambapo Blu 3 wako nominated kutokana na wimbo wao wa

Where you are, Moses Radio ambao waowapo nominated kwa wimbo wa Bread and Butter, Cindy

wimbo wa Na Wewe ambapo kidum toka Kenya na Juliana wanawania kinyanganyiro hicho katika wimbo wa

Haturundi Nyuma.Habari ndo bado hiyo kumbuka kilele cha shuhuli hii ni tarehe 15 may pale diamond

jubilee ambao toka Uganda na Kenya na hapa Tanzania watajulikana nani walioshinda tuzo hizo

No comments:

Post a Comment