Jul 11, 2012

KIGOMA ALL STARS.....

Ulijua kuwa wasanii wote pichani wametoka Mkoa mmoja? Kama ulikuwa hufahamu basi chukua hiyo, wameungana kwa pamoja kama Kigoma All Stars na kutunga wimbo unaouitwa Leka Dutigite na wanatarajiwa kupiga show ya pamoja wiki ijayo ili kuchangia yatima wa mkoa huo. Tunawapongeza sana Banana Zoro, Chege, Mwasiti, Peter Msechu, Diamond, Abdul Kiba, Baba Levo, Recho, Linex, Ommy Dimpoz na Makomando. 


KIGOMA ONE LOVEEEEE